2 May 2026 7:48 pm | Citizen TV 1,253 views Duration: 55s Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetangaza tarehe za mechi ya ufunguzi na fainali ya michuano ya AFCON pamoja 2027 itakayoadiliwa kwa pamoja na Kenya, Tanzania na Uganda.