Cape Town 84 - Petro de Luanda 78

  • | VOA Swahili
    15 views
    Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika katika ukanda wa Kalahari imemalizika mwishoni mwa wiki ambapo tiketi zote ziliuzwa za uwanja Sunbet Arena mjini Pretoria, ambapo Cape Town Tigers ya Afrika Kusini na Petro de Luanda ya Angola zilipopambana kwa mara ya pili msimu huu. Timu ya Cape Town Tigers iliifunga Petro de Luanda, kwa pointi 84 – 78 na kuboresha pointi za mchezo kwa 1 na 2 huku wakiweka matarajio mafupi ya kwenda hatua ya mtoano. Mapema msimu huu, Petro iliibuka juu kwa ushindi wa pointi 100 kwa 88 dhidi ya Tigers. #bal #capetowntigers #petrodeluanda #southafrica #angola #voa