Cape Town Tigers ikisherehekea ushindi wao wa kwanza

  • | VOA Swahili
    164 views
    Kanda ya Video ikionyesha mchezo wa Kanda ya Kalahari kati ya Afrika Kusini na Angola. Mchezaji wa Cape Town Tiger Samkelo Cele akiruka hewani kuuchukua mpira na kufunga. Wachezaji wa Cape Town Tigers wakisherehekea ushindi wao wa kwanza wa Kanda ya Kalahari na mashabiki wa Afrika Kusini. #bal #FUS #Petro #morocco #angola #voa