Skip to main content
Skip to main content

CCM kuna Yuda au ni homa ya urais 2030?

  • | BBC Swahili
    20,194 views
    Duration: 2:01
    Mitandao ya kijamii nchini Tanzania imelipuka kwa mjadala kuhusu jina moja tu "Yuda". Hii ni baada ya Mbunge wa Tunguu, Zanzibar, Simai Mohammed Said akiwa Bungeni kutoa kauli nzito kuhusu kile alichodai kuwa ni usaliti ndani ya CCM na Serikali. Aliwasilisha kwa kutumia fumbo la 'Yuda'. Je Yuda huyo ni nani? ni kweli CCM kuna msaliti au ni homa ya urais 2030? Ahmed Hajj anaelezea Video: Bosha Nyanje #bbcswahili #tanzania #ccm Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw