CCTV yamnasa mshukiwa na Tamara Blessing saa chache kabla kupotea

  • | NTV Video
    12,469 views

    Picha za CCTV zilimnasa mshukiwa akitembea na msichana wa miaka saba, Tamara Blessing, saa chache tu kabla hajatangazwa kupotea.

    Ushahidi huu muhimu umefungua njia ya uchunguzi wa mauaji na kusababisha kupatikana kwa mwili wake kwa njia ya kutatanisha.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya