- 27,032 viewsDuration: 1:01Mahakama ya rufani nchini Tanzania imetupilia mbali zuio lililowekwa kwa viongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini humo CHADEMA kutojihusisha na masala ya chama, Chama hicho kimetangaza kufungua tena ofisi zake kote nchini humo ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu kuwekwa kwa zuio hilo. #bbcswahili #tanzania #chadema