- 3,094 viewsDuration: 2:25Tume ya uchaguzi na mipaka iebc sasa inasema haina fedha ya kutosha kuandaa chaguzi ndogo 8 zinazotarajiwa mwezi novemba mwaka huu. Iebc ikisema kuwa hazina ya kitaifa haijatoa fedha za kuandaa chaguzi hizo. IEBC inasema inalenga kusajili vijana milioni nne kushiriki uchaguzi mkuu wa 2027.