Chakula kwa wanafunzi | Waziri Machohu azindua mpango wa lishe shuleni

  • | KBC Video
    15 views

    Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu amepongeza mpango wa kuwapa chakula wanafunzi,akisema umewezesha asili mia 100 ya wanafunzi kusalia shuleni na kuendeleza masomo yao.Akiongea alipokutana na wabunge kutoka maeneo kame nchini, Machogu alisema serikali itahakikisha mpango huo wa chakula unadumishwa kwa manufaa ya wanafunzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #elimu #News #ezekielmachogu #lisheshuleni