Chama cha cha walimu cha KUPPET chatishia kuandaa mgomo

  • | Citizen TV
    117 views

    Chama Cha walimu wa shule za sekondari na vyuo vya kadri KUPPET tawi la Samburu kimeisuta tume ya kuwaajiri walimu TSC ,Kwa kuwapandisha ngazi walimu Kisha kuwashusha ngazi mwezi Moja baadaye. Chama hicho kimetoa makataa Kwa TSC kubatilisha hatua hiyo la sivyo kiitishe mgomo