Chama cha KMPDU chapuuza wito wa kurejea kazini

  • | Citizen TV
    628 views

    Chama cha Madaktari nchini Kenya KMPDU kimesisitiza kuwa madaktari hawatatishwa na kile wanachodai ni vitisho vya kuwafuta kazi. Haya yanafuatia agizo la Baraza la Magavana kutaka madaktari hao kusitisha mgomo unaoendelea na kurejea kazini la sivyo wachukuliwe hatua za kinidhamu. Madaktari katika eneo la Pwani walifanya maandamano hii leo huku mgomo huu ukiingia siku ya 15