Chama cha KMPDU kimekashifu vikali mashambulizi dhidi ya kiongozi wao

  • | KBC Video
    55 views

    Chama cha wahudumu wa matibabu, wataalamu wa dawa na madaktari wa meno-KMPDU kimekashifu vikali mashambulizi dhidi ya kiongozi wao Dakta Davji Attellah aliyejeruhiwa na maafisa wa usalama alipokuwa akiongoza matabibu wanagenzi kwenye maandamno ya amani jijini Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive