Chama cha KUDHEIA chakosoa uamuzi wa serikali

  • | KBC Video
    51 views

    Chama cha wafanyikazi wa nyumbani, hoteli na taasisi za elimu, KUDHEIHA, kinaitaka serikali kutupilia mbali pendekezo kwamba mikutano na warsha za asasi zake ziandaliwe katika afisi wala sio kwenye hoteli. Katibu mkuu wa chama cha KUDHEIHA Albert Njeru amesema kusitishwa kwa mikutano hiyo kwenye hoteli kutaathiri maisha ya vijana ambao huenda wakapoteza ajira.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KUDHEIHA #News