Skip to main content
Skip to main content

Chama cha KUPPET chataka shule za JSS zijisimamie

  • | Citizen TV
    204 views
    Duration: 1:57
    Mipango ya serikali kuu ya kuweka shule za sekondari msingi chini ya usimamizi wa shule za msingi imekashifiwa na walimu wa shule hizo katika kaunti ya Busia huku wakitishia kusambaratisha shughuli za masomo iwapo sera hiyo itapitishwa kuwa sheria.