Chama cha madaktari chatishia kumshtaki Inspekta jenerali wa polisi Japheth Koome

  • | KBC Video
    257 views

    Chama cha madaktari na wataalamu wa meno nchini (KMPDU) pamoja na mashirika kadhaa ya kutetea haki kimetishia kumshtaki Inspekta jenerali wa polisi Japhet Koome kuhusiana na mgomo wa madaktari unaoendelea. Mashirika hayo yanataka Koome apmbe msamaha kufuatia agizo alilotoa kwa idara ya polisi kukabiliana vilivyo na madaktari waliogoma kwa kutatiza umma na kutishia usalama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News