Chama cha madaktari, KMPDU chasitisha kwa muda maandamano yaliyopangiwa kufanyika leo

  • | Citizen TV
    536 views

    Chama cha madaktari nchini - kmpdu - kimesitisha kwa muda maandamano yaliyopangiwa kufanyika leo ili kupisha mazungumzo yanayolenga kuafikia mkataba wa kurejea kazini.