- 113 viewsDuration: 7:17Wanachama wa muungano wa madaktari wa mifugo na wanyama nchini, hii Leo wamekutana Jijini Nakuru kujadili ukosefu wa wataalam wa mifugo katika serikali za kaunti, jambo ambalo linahatarisha usalama wa chakula cha binadamu kinachotokana na mifugo. aidha mwenyekiti wa muungano huo Dkt. Paul Ndung'u anasema kuwa kaunti nyingi hazina madaktari wa kutosha wa mifugo, na madaktari ambao hawajahitimu wananahatarisha maisha ya binadamu.