Chama cha makanisa ya sabato na Benki ya Equity kushirikiana kwenye mpango wa elimu wa Wings to Fly

  • | KBC Video
    20 views

    Chama cha makanisa ya sabato cha magharibi mwa kenya na benki ya Equity zinapatinia kushirikiana kwenye mpango uliodhamiriwa kuwachukua wanafunzi kutoka shule zinazoendeshwa na makanisa hayo kwenye mpango wa elimu wa equity - Wings to Fly na ule wa utoaji mafunzo wa benki hiyo. Benki hiyo imesema itashirikiana na shule zinazosimamiwa na mashirika ya kidini ili kuwapa uwezo wanafunzi kutoka familia zisizojiweza, kama anavyosimulia Wycliffe Oketch.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #WingstoFly #News