Chama cha maskauti chapanda miche shuleni Riomanga Keroka, kaunti ya Nyamira

  • | Citizen TV
    77 views

    Chama cha wanaskauti duniani kilichoko chini ya mwavuli wa Bunge la kitaifa kimeandaa hafla ya kupanda miti na kuwahamasisha maskauti katika kaunti ya Nyamira kutunza mazingira.