Chama cha maskauti Pokot Magharibi chahamasisha wanafunzi

  • | Citizen TV
    172 views

    Chama cha maskauti kaunti ya pokot magharibi kimeanzisha harakati ya kuwahamasisha wanafunzi umuhimu wa shughuli ya upanzi wa miti na kutunza mazingira.