Chama cha ODM chasuluhisha mizozo Kilifi

  • | KBC Video
    4 views

    Chama cha Orange Democratic Movement-ODM kimechukua hatua za haraka kutatua mizozo katika kaunti ya Kilifi huku kikijiandaa kwa uchaguzi wa mashinani. Kikiongozwa na mkurugenzi mkuu wake, Oduor Ong’wen, chama cha ODM kilikutana na viongozi wake kutatua masuala kadhaa ili kulainisha maandalizi ya uchahuzi wa mashinani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive