26 Aug 2025 1:47 pm | Citizen TV 550 views Duration: 2:57 Chama cha ODM kaunti ya Taita Taveta kimeandaa uchaguzi wa viongozi mbalimbali ngazi ya kaunti huku mgawanyiko wa wanachama ukijitokeza baada ya seneta wa kaunti hiyo Jones Mwaruma kutangazwa kuwa mwenyekiti.