Chama cha UDA chaanza kusajili wanachama wapya Bungoma

  • | Citizen TV
    226 views

    Wanachama wa chama cha UDA katika eneo bunge la Kanduyi kaunti ya Bungoma wamejitokeza kuweka mikakati ya kuboresha chama hicho kabla ya uchaguzi wa viongozi wa chama unaotarajiwa kuandaliwa mwezi Desemba