Chama cha UDA chamwandikia rais kuhusu ghasia za kampeni

  • | Citizen TV
    Chama cha UDA chamwandikia rais kuhusu ghasia za kampeni UDA yadai taasisi za serikali zinafanikisha vurugu wanazodai ni za ODM UDA yadai serikali inapuuza malalamishi yake kuhusu vurugu hizo UDA yamtaka rais kuingilia kati kuhakikisha usawa wa utekelezaji wa sheria UDA yaonya kuwa vurugu zitashuhudiwa baada ya uchaguzi iwapo hali hii itaendelea