Chama cha UDA kaunti ya Taita Taveta kinajiandaa kwa uchaguzi

  • | Citizen TV
    184 views

    Huku Chama cha UDA kikijiandaa kwa uchaguzi, viongozi wa chama hicho kaunti ya taita taveta wanasema kuwa tayari mipango imekamilika kuhakikisha kuwa uchaguzi huo unaendeshwa kwa njia ya haki na uwazi. Chama hicho kimefanya mkutano mjini Voi kuleta uwiano miongoni mwa wagombeaji. Keith simiyu anaarifu zaidi.