- 454 viewsDuration: 4:05Chama cha UDA kimeandaa mafunzo spesheli kwa wawaniaji wa nyadhifa mbalimbali kutoka kaunti ya Nandi, Uasin Gishu na Elgeyo Marakwet, huku kikijiandaa kwenye uchaguzi wa chama hicho tarehe 20 mwezi huu. Walio ongoza hafla hiyo wanesema uchaguzi huo utakuwa tofauti sana kwani watatumia njia ya dijitali kwa wakazi kupiga kura jambo ambalo wanasema litamaliza wizi na udanganyifu wakati wa zoezi hilo.