Chama cha UDA kimeanza kuwasajili wanachama Taita Taveta

  • | Citizen TV
    193 views

    Huku chama cha uda kikijiandaa kwa uchaguzi wao unaotarajiwa mapema mwezi ujao, idadi ya wanaosajiliwa kaunti ya taita taveta, ambayo ni ngome ya chama cha Odm inaongezeka.