Chama cha UDA kimekamilisha mipango ya uchaguzi katika tawi la Homa Bay

  • | Citizen TV
    82 views

    Chama cha UDA kimekamilisha mipango ya uchaguzi katika tawi la Homa Bay. Kwa mjibu wa maafisa wanaosimamia uchaguzi huo utakaofanyika mwishoni mwa wiki, mipango yote iko tayari. Viongoi hao wamewataka wafuasi wao kudumisha amani wakati wa uchaguzi.