Chama cha UDA kinajiandaa kwa uchaguzi huko Taita Taveta

  • | Citizen TV
    208 views

    Huku Chama cha UDA kikijiandaa kwa uchaguzi, viongozi wa chama hicho kaunti ya taita taveta wanasema kuwa tayari mipango imekamilika kuhakikisha kuwa uchaguzi huo unaendeshwa kwa njia ya haki na uwazi. Chama hicho kimefanya mkutano mjini Voi kuleta uwiano miongoni mwa wagombeaji.