Chama cha ushirika cha boda boda chazinduliwa Kilifi

  • | Citizen TV
    155 views

    vijana zaidi ya 300 kutoka wadi ya Ganda katika eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi wanatarajiwa kunufaika na mafunzo ya uendeshaji pikipiki Kama njia moja ya kupunguza ajali za bodaboda sambamba na kuwawezesha vijana kupata ajira.