- 50 viewsNchini Tanzania, Ushiriki wa Vyama vya ushirika kusaidia huduma za kitaalamu kwenye zao la kahawa mkoani Kagera inaelezwa ni chachu ya kufanya vizuri kwa zao hilo. Chama Kikuu cha Ushirika mkoani humo KCU kimeajiri maafisa ugani wanaotoa huduma hizo muhimu kwa wakulima wao hatua inayosaidia kupunguza changamoto kwa zao la Kahawa VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Chama cha Ushirika kuboreha huduma za ugani katika uzalishaji wa kahawa Tanzania
- - Duniani Leo ››
- 2 Jul 2025 - According to Islamic law, a child born out of wedlock can only inherit from the mother and not the father.
- 2 Jul 2025 - Despite court order, 16 of the 18 MCAs convened on Thursday and voted unanimously to impeach the governor
- 2 Jul 2025 - From Great Wall to Temple of Heaven, it has a long and fabled past
- 2 Jul 2025 - Team ‘New Dawn’, led by National Olympic Committee of Kenya (NOC-K) outgoing First Deputy President Shadrack Maluki, now believes the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) cannot conduct a credible election over allegations of…
- 2 Jul 2025 - Uganda will require fuel distributors to blend locally produced ethanol into all petrol sold in the country starting next January, the energy ministry said on Tuesday, a measure that could reduce the East African nation's petroleum import bill.
- 2 Jul 2025 - With just a smartphone in hand, the Kenyan youth have proved that they can easily crowdsource and send live updates, to mobilise change, especially in the political arena. Last year, what began as simple conversations online turned out to be a full-…
- 2 Jul 2025 - More than 40,000 students who sat the Kenya Certificate of Secondary Education exam last year and qualified to join the university did not apply for admission, the ministry has said. Education Cabinet Secretary Julius Migos Ogamba said out of the 244,…
- 2 Jul 2025 - Kenyans in the North Rift and northeastern regions face deepening poverty as they enter unfavourable carbon trading agreements with multinational companies. Large farmland areas are being converted to exotic-tree plantations for carbon credits,…
- 2 Jul 2025 - Teachers have threatened to go on strike if the government does not agree to increase their pay. The Kenya National Union of Teachers (KNUT) on July 1, 2025, issued a seven-day notice demanding that the Teachers Service Commission (TSC) present its…
- 2 Jul 2025 - The Kenyan government, through the Directorate of Veterinary Science (DVS), has partnered with research organisations in a project aimed at controlling contagious bovine pleuropneumonia (CBPP), a deadly cattle disease. CBPP kills up to 50-80 per cent of…