Chama cha wachapishaji wa vitabu nchini kimeitaka serikali kuondoa ada ya asilimia 16

  • | K24 Video
    20 views

    Chama cha wachapishaji wa vitabu nchini kimeitaka serikali kuondoa ada ya 16% inayotozwa kwenye vitabu ili kuwawezesha wanafunzi wote kufaidika navyo. Chama hicho pia kimelalamikia uharamia wa mitandaoni, ambao unaripotiwa kuigharimu sekta hiyo shilingi milioni 300 kila mwaka.