3 Mar 2026 1:44 pm | Citizen TV 190 views Duration: 1:22 Chama cha Wafanyabiashara mjini Embu kimeitaka Serikali ya Kaunti ya Embu kuitisha mazungumzo ya haraka baada ya kikao kilicholenga kutatua mzozo wa biashara ya mitumba kutibuka