Chama cha wafanyibiashara kaunti ya Trans Nzoia kinalilia serikali kupunguza ushuru wa mafuta

  • | Citizen TV
    287 views

    Chama cha wafanyibiashara kaunti ya Trans-Nzoia kinalilia serikali kupunguza ushuru unaotozwa bidhaa za mafuta ya petroli ili kupunguza bei ya bidhaa hiyo. Wanasema wengi wa wanachama wao ambao ni wahudumu wa bodaboda wanahangaika kupata faida kwani wengi wa wateja wao wanakabiliwa na hali ngumu ya maisha.