Chama cha wahudumu wa bima chapinga ushuru

  • | Citizen TV
    198 views

    Chama cha wahudumu wa bima nchini -AKI- kimepinga pendekezo la ushuru kwa wamiliki wa magari kikisema kuwa litaongeza maradufu ada za bima na kupunguza idadi ya watu watakaokata bima hizo. AKI Inataka pendekezo hilo kuondolewa kabisa kwenye mswada wa fedha wa mwaka 2024 wakisema pia kuwa litaathiri biashara ya magari na kuwaweka wananchi kwenye hatari ya kukwepa kulipa bima