Chama cha wakuu wa shule za sekondari waomba serikali kusambaza pesa za kufadhili masomo

  • | Citizen TV
    347 views

    Chama cha wakuu wa shule za sekondari Kenya pamoja na gavana wa Muranga Irungu Kangata wameiomba serikali kuu kusambaza pesa za kufadhili masomo ya wanafunzi katika shule za serikali.