Chama cha walimu KNUT, tawi la Baringo, watishia kugoma kulalamikia utovu wa usalama

  • | Citizen TV
    76 views

    Chama cha walimu KNUT tawi la Baringo sasa wametishia kugoma kulalamikia utovu wa usalama unaoendelea kushuhudiwa eneo hili.Walimu hawa wakilalamikia mauaji yanayoendelezwa dhidi ya walimu, wakilaani tukio la punde zaidi ambapo naibu mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya Chemoi eneo bunge la Baringo Kaskazini alipigwa risasi na majangili usiku wa kuamkia jumapili.