Katibu wa Baraza la Mawaziri, Mercy Wanjau, amekitaka Chama cha Wanawake wahasibu nchini kuongoza katika kuendeleza tamaduni jumuishi kwa kuwawezesha wanawake wataalam chipukizi katika taaluma ya uhasibu kustawi kwa ushindani ndani na nje ya nchi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive