10 Oct 2025 1:52 pm | Citizen TV 300 views Duration: 1:36 Chama cha Wafanyibiashara wa usafirishaji na Maghala nchini ( KIFWA) Kimetia saini mkataba wa makubaliano wa shilingi Bilioni 12 na kampuni moja ya kimataifa kuzindua mfumo mpya ya kielektroniki .