Chama cha wauguzi chatoa wito kwa kaunti ya Mombasa kuandaa mazungumzo ya kukomesha mgomo

  • | KBC Video
    Chama cha kitaifa cha wauguzi na kile cha matabibu humu nchini vimetoa wito kwa serikali ya kaunti ya Mombasa kuandaa mazungumzo ya kukomesha mgomo wa wahudumu hao wa afya. Shinikizo la sasa limejiri huku serikali za kaunti zikishikilia msimamo wao wa kutoshauriana na wahudumu wa afya. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive