Chama UDA chaunga mkono azma ya Raila kugombea uenyekiti wa AU

  • | KBC Video
    39 views

    Chama cha United Democratic Alliance – UDA, kimempendekeza kiongozi wa muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga, kugombea wadhifa wa mwenyekiti wa tume ya muungano wa Afrika – AU. Katibu mkuu wa chama cha UDA, Cleophas Malala, alisema waziri huyo mkuu wa zamani ana uzoefu mkubwa kuhusu bara Afrika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News