Chan 2024: FKF kufahamisha umma kuhusu maeneo ya kutazama mechi

  • | Citizen TV
    489 views

    Shirikisho la soka nchini FKF linafanya uhamasisho kwa umma katika mitaa mbalimbali jijini Nairobi kuwarai wale ambao hawana tiketi za kieletroniki kutazama mechi kati ya Haramabe stars na chipolopolo ya Zambia katika maeneo yaliyoyengwa. Rais wa FKF Hussein Mohammed anaongoza shughuli hiyo katika mitaa ya ⁠Githurai 44