Chan 2024: Hamasa kwa mashabiki

  • | Citizen TV
    438 views

    Shirikisho la soka nchini FKF limeshirkiana na kampuni ya Royal Media Services katika uhamasisho wa mashabiki wa soka nchini kuhusu umuhimu wa amani nyanjani katika michuano inayoendelea ya CHAN ugani kasarani na Nyayo