15 Aug 2025 10:38 am | Citizen TV 1,744 views Duration: 7:11 Shirikisho la soka nchini FKF limeshirkiana na kampuni ya Royal Media Services katika uhamasisho wa mashabiki wa soka nchini kuhusu umuhimu wa amani nyanjani katika michuano inayoendelea ya CHAN ugani kasarani na Nyayo