Changamoto ibuka zajadiliwa kwenye Kongamano La Wanahabari

  • | KBC Video
    28 views

    Chama cha wahariri humu nchini kimehimizwa kuwa katika mstari wa mbele katika kubuni sheria endelevu zitakazoimarisha utendakazi wa wanahabari. Spika wa bunge la taifa Moses Wetangula amesema kuwa taaluma ya uanahabari inakabiliwa na changamoto ibuka zinazofaa kushughulikiwa kupitia mifumo wazi. Alithibitisha kuwa bunge hilo linaunga mkono uanahabari unaounganisha jamii mbali na uhuru wa vyombo vya habari na uadilifu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News