Skip to main content
Skip to main content

Changamoto ya upatikanaji wa maji katika Kaunti ya Kajiado imekuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo

  • | Citizen TV
    235 views
    Duration: 4:12
    Changamoto ya upatikanaji wa maji katika Kaunti ya Kajiado imekuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya jamii. Hata hivyo, wakazi wa kijiji cha Olobelbel sasa wana sababu ya kutabasamu baada ya kuzinduliwa kwa mradi wa maji utakaowanufaisha zaidi ya watu 500 pamoja na maelfu ya mifugo.