Changamoto yatolewa kuhusu pesa za Inua Jamii katika kauanti ya Busia

  • | Citizen TV
    241 views

    Serikali imetakiwa kuhakikisha kuwa mpango wa pesa kwa wazee unatekelezwa kwa mpangilio ili kuwanufaisha wakongwe wote bila ubaguzi.