Changamoto za soko la ajira kwa vijana nchini Nigeria

  • | VOA Swahili
    360 views
    Kupitia katika soko la ajira nchini Nigeria kuna changamoto kubwa kwa wote wahitimu wapya na wengine. Gibson Emeka anazungumza na vijana wawili mjini Abuja ambao wanaelezea changamoto walizopitia wakati wa kutafuta kazi kwa muda mrefu. ⁣ #nigeria #ajira #ukosefuwaajira #voa #voaswahili ⁣