Changamoto za watoto magerezani

  • | KBC Video
    105 views

    Uhuru wa kuwa huru bila uhuru wa kuutumikia uhuru huo huwa changamoto katika maisha. taswira hii inajitokeza katika kadhia ya kina mama wanaojifungua watoto gerezani au wanapatikana na hatia wakiwa na ulezi. Watoto wachanga hulazimika kuutumikia uhuru wao gerezani kutokana na kushindwa kutenganishwa na mama zao wakiwa wadogo. Leyla Swadiq alizuru baadhi ya magereza nchini na kutuletea taswira ya hali ilivyo kwa watoto wa magereza.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive