Chanjo hubebwa kwa vifaa maalum vyenye barafu na kifaa cha kupima joto ili zisiharibike -Lilian

  • | TV 47
    2 views

    "Ili kuhifadhi chanjo ipasavyo, tunatumia vibeba chanjo vyenye vipande vya barafu na vifaa vya kurekodi joto. Hata tunapopeleka chanjo maeneo mbali tunaweza kufuatilia joto kupitia kifaa hicho ili kuhakikisha chanjo ziko katika hali salama. Iwapo joto litapanda kupita kiwango, tunabadilisha vibeba chanjo mara moja." -Lilian Makena, Muuguzi,The Karen Hospital

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __