Chanjo mpya ya homa ya matumbo (TCV) yazinduliwa na tuna juhudi za kufikia wengi -Dkt. Shamsa

  • | TV 47
    9 views

    "Sasa tuna chanjo mpya ya homa ya matumbo ijulikanayo kama Typhoid Conjugate Vaccine (TCV). Kwa sasa, juhudi zimeelekezwa katika kusambaza chanjo hii na pia kutumia fursa hiyo kuwafikia watoto wote ambao hawajapata chanjo ya surua. Lengo letu ni kuwafikia watu wengi iwezekanavyo." -Dkt. Shamsa Ahmed, Mtaalamu wa Afya, MP SHAH

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __